Featured News

Idadi ya waliokufa ajali ya boti DRC yafikia 40
Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya boti katika Ziwa Kivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia 40, kufuatia kupatikana kwa maiti nyengine 27 jana Jumamosi.
Kenya wang'ara Ngorongoro Marathoni.
Mwamko mdogo miongoni mwa wanariadha wa Tanzania umewafanya wanariadha wa kenya kutamba katika mashindano ya Ngorongoro marathon. Mashindano ya Ngorongoro marathon ya kilometa 21 yamewakutanisha washi...
Wamisri wapiga kura kumuongezea muda Rais Abdel Fattah al-Sisi
Raia wa Misri wanapiga kura ya maoni leo inayolenga kumpa nguvu zaidi Rais Abdel Fattah al-Sisi.
Wamisri wapiga kura kumuongezea muda Rais Abdel Fattah al-Sisi
Raia wa Misri wanapiga kura ya maoni leo inayolenga kumpa nguvu zaidi Rais Abdel Fattah al-Sisi.
Idadi ya waliokufa ajali ya boti DRC yafikia...
Kenya wang'ara Ngorongoro Marathoni.
Wamisri wapiga kura kumuongezea muda Rais Abdel Fattah...
Wamisri wapiga kura kumuongezea muda Rais Abdel Fattah...

Recent News

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya boti katika Ziwa Kivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia 40, kufuatia kupatikana kwa maiti nyengine 27 jana Jumamosi

Waziri wa mambo ya ndani, Basile Olongo, ameliambia shirika la habari la Reuters kwamba miili hiyo ilipatikana mpakani mwa kingo za mashariki za ziwa hilo upande wa nchi jirani ya Rwanda

Boti hiyo ilipinduka mwanzoni mwa wiki hii ikiwa imebeba watu takribani 200 na hadi sasa watu zaidi ya 100 hawajajulikana walipo

Rais Felix Tshisekedi aliitangaza Ijumaa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa

Ajali za

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stram

Youtube Channel

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.